
Mungu Kwanza
iOS Universel / Livres
Ndani ya app hii ya Mungu Kwanza utaweza kusoma
1. Biblia
2. Muongozo wa Kujifunza Biblia (Lesoni)
3. Kesha la Asubuhi
4. Nyimbo za Kristo
5. Usomaji wa Biblia kwa Mpango
6. Duka la Vitabu
Karibu upakue na kubarikiwa na Mungu kwa njia ya kusoma vitabu.
En voir plus...
Quoi de neuf dans la dernière version ?
New Sabbath School Quarterly Lesson (4th Quarter 2025)